iqna

IQNA

ibada ya hija
Hija katika Uislamu/3
TEHRAN (IQNA) – Hija ni safari yenye thamani sana kiasi kwamba wale wanaosafiri kwa ngamia hawapaswi kupanda ngamia anayekula uchafu.
Habari ID: 3477805    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

Mahujaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia walianza ibada ya Hija ya kila mwaka katika mji mtukufu wa Mekka nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3477198    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/26

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija na Ziara za Kidini amesema Wairani 85,000 wanatazamiwa kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu kufuatia mapatano na Saudi Arabia.
Habari ID: 3476397    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Kamati ya Hijja ya India imeripotiwa kutangaza kwamba mahujaji laki mbili wataruhusiwa kuhiji mnamo mwaka huu wa 1444 Hijria Qamarai sawa na 2023.
Habari ID: 3476228    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/10

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Ofisi ya Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija imeandaa mahafali za qiraa ya Qur’ani Tukufu katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475513    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa Tehran ameungumzia utambulisho wa amani wa Ibada ya Hija na kusema nukta hii inapaswa kutumiwa kukabiliana na propaganda za chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia zinazoenezwa na baadhi ya vyombo habari vya Magharibi.
Habari ID: 3475484    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Mahujaji Wairani wameshiriki katika mjumuiko wa kujibari na kujiweka mbali na washirikina (bar’aat min-al-mushrikeen) siku ya Ijumaa wakati wa Ibada ya Hija mwaka huu wa 1443 Hijria Qamaria
Habari ID: 3475482    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/09

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Baadhi ya Waislamu mwaka huu leo wanaadhimisha Siku ya Idul Adha lakini kwa engine leo ni Siku ya Arafa kwa kutegemea mwandamo wa mwezi katika maeneo hayo.
Habari ID: 3475478    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/09

Ibada ya Hija
Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu leo wamesimama katika uwanja wa Arafa hii, kisimamo hicho kikiashiria kilele cha ibada tukufu ya Hija.
Habari ID: 3475475    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/08

Ibada ya Hija
Zaidi ya nakala nusu milioni za Qur'ani Tukufu zimesambazwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid al Haram na maeneo matakatifu karibu na mji huo, Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia imetangaza.
Habari ID: 3475471    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07

Ibada ya kila mwaka ya Hija ya imeanza rasmi leo Alhamisi katika mji mtakatifu wa Makka, ikiashiria hatua kubwa kuelekea hali ya kawaida baada ya miaka miwili ya janga la corona ambapo idadi ya Mahujaji ilipunguzwa sana.
Habari ID: 3475469    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Wasimamizi wa Hija nchini Iran wamekutana na wenzao wa Russia mjini Makka na kufanya mazungumzo kuhusu njia za kuongeza ushirikiano wa pande mbili.
Habari ID: 3475464    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/05

Ibada ya Hija na Teknolojia
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia ime yamepeleka roboti 11 smart ili kuzalisha msikiti mkubwa wa Makka wakati wa ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475458    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya waumini wa dini tukufu ya Kiislamu kutoka kona zote za dunia wameendelea kuwasili katika mji mtakatifu wa Makka Ijumaa, wakiwa ni miongoni mwa Waislamu milioni moja wanaotarajiwa kushiriki ibada ya Hija mwaka huu wa 2022 ambapo hii ni mara ya kwanza baada ya miaka miwili ya kuzuia mahujaji kutoka nje ya Saudia kutokana na janga la Covid.
Habari ID: 3475446    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Uingereza yamkini hawataweza kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu baada ya kusibiri kwa muda wa miaka wakati Hija ilikuwa marufuku kwa walio nje ya Saudia kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3475434    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/27

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Huku Mahujaji kutoka nchi mbalimbali wakiendelea kuwasili, takriban Misahafu mipya 80,000 imewekwa kwenye rafu za Msikiti Mkuu wa Makkah au Masjid al-Haram.
Habari ID: 3475410    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

Ibada ya hija
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Hija na Umrah wa Ufalme wa Saudi Arabia amesema wizara hiyo inatafakari kuongeza idadi ya raia wa Iran watakaoenda Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475405    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) –Sawa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi nyingine, raia wengi wa Morocco wanalazimika kufuta safari yao ya Hijja mwaka huu kutokana na gharama kubwa.
Habari ID: 3475373    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13